Anthem

Mungu Muweza shusha baraka zako,
Utubariki sisi watoto wako,
Wanafunzi walimu, wafanyakazi
Mungu bariki Pandahill
Pandahill, Pandahill (pandahill)
Shule yangu nakupendasana(nakupendasana)
Pandahill Pandahill (pandahill)
Ni kitovu cha elimu bora.
Mara ya kwanza ufikapo Pandahill,
Utakutana na walimu wenye ujuzi,
Ukilinganisha na upeo wa wanafunzi
Unachopata ni shule bora Pandahill
Nilichofuata hapa ni elimu,
Muda ukifika masomo nitahitimu, (kwa wazazi)
Kwa wazazi nyumbani nitarudi (sina budi)
Kuwashukuru walimu kwa kunifunza
Jukumu letu sisi kujiheshimu,
Sababu Ukimwi unapoteza malengo (ya baadaye)
Yapasa jua kwamba sisi tegemeo
La familia, taifa na ulimwengu
My  parents sent me here,
In order to acquire knowledge (so that)
I can use it to over come, (some life)
Some life difficulties.