Admission

 

Kwa wale wanaotafuta nafasi ya kujiunga kidato cha tano mwezi wa saba 2017, wanaweza kudowload form ya maombi (application form) hapa na kwenda kulipia 15,000/= katika account ya shule namba 016101002419 tawi la NBC. Jina la account ni the catholic diocese of mbeya pandahil secondary school. Baada ya kujaza fomu itumwe shuleni ikiwa na slip ya benki. Kwa maelezo zaidi piga 0755427518/ 0754459201

Download fomu ya maombi (application form) hapa

(Hatuna interview bali tunatazama sifa kutokana na matokeo ya taifa kidato cha nne ya mwanafunzi) walio na sifa wote mnakaribishwa. Ahsanteni.