Application

Fomu ya kidato cha kwanza 2018.

Ukishadownload lipia bank sh. 15,000/= kwenye Account no. 016101002419 (NBC). Jina la Acc. Pandahill Secondary School. Pindi umalizapo kujaza fomu tuma shuleni fomu iliyokwisha jazwa na bank pay-slip (original). Kwa maulizo piga simu namba 0755427518/ 0754459201

FOMU YA KUJIUNGA KIDATO I-2018

 

 

N.B. Fomu hizi sinapatikana pia kwenye vituo vifuatavyo:-Pandahill Secondary School, Jimboni Mbeya mjini, Sigrid Primary School Makambako, Bookshop ya Jimbo Njombe, Mafinga sokoni, Iringa maktaba ya jimbo, Dar Es Salaam Msimbazi Centre chumba namba 12, Morogoro Educational Social Centre, etc.