Projects

School Bus Project:

Shule imefungua akaunti maalum benki ya NMB tawi la Usongwe – Mbalizi, Mbeya namba 62 51 000 55 30 jina:- School bus Pandahill Secondary School. Akaunti hii ni mahususi kwa wale wote wenye mapenzi mema na shule wanaopenda kutuchangia kadri ya uwezo wa mtu. Lengo ni kukusanya million 160,000,000/= (Milioni Mia moja na sitini) na hivyo kuweza kununua bus lenye uwezo wa kubeba abiria 60 – 65 na pia la masafa marefu. Mawazo yanakaribishwa ili kuboresha zaidi mpango huu.

Ahsanteni sana.

 

New Dormitory:

The dormitory is completed and students are already living inside.

Front of the new dormitory for boys at Pandahill

The school is building a new dormitory for boys. The progress is very well.

IMG_20160308_142203

IMG_20160215_125658